NBS Accessibility Tools
NBS Accessibility Tools

Text Size

Language

AASS 2023/2024 Women's Empowerment and Nutrition Module: WEN Tanzania Gender and Environment Survey: TGES 2025 Utafiti wa Kufuatilia Kaya (National Panel Survey, Wave 6: NPS 2026 Tanzania Inflation Rate April 2026: 4.0 %
The United Republic of Tanzania

National Bureau of Statistics

Tuzo
Posted On: 25 August, 2025
Tuzo

Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Amina Msengwa na Wasaidizi wake wakiwa na Tuzo baada ya Ofisi ya Taifa ya Takwmimu NBS kushinda katika Ubora wa Uandaaji wa Taarifa na Usimamizi wa Fedha (Best Financial Management Performance) kwa Taasisi za Umma zisizo za Kibiashara (Non Commercial Entity) kwa mwaka 2025.

Tuzo hiyo imeandaliwa na Ofisi ya Msajili wa hazina na kukabidhiwa na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango kwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mtakwimu Mkuu wa Serikali tarehe 24 Agosti,2025 katika Kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za umma Jijini Arusha.