Pato la Taifa katika Robo ya Kwanza (Januari - Machi) mwaka 2032, katika bei za mwaka husika liliongezeka hadi Shilingi trilioni 46.5 kutoka Shilingi trilioni 41.5 katika kipindi kama hicho mwaka 2022. Aidha, Katika kipindi hicho Pato Halisi la Taifa (bei za mwaka wa kizio 2015) liliongezeka hadi Shilingi trilioni 36.9, kutoka Shilingi trilioni 34.9 katika kipindi kama hicho mwaka 2022, ikiwa ni kiwango cha ukuaji wa asilimia 5.6.

Kupakua taarifa hii bofya hapa