Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni muungano wa nchi mbili huru za Tanganyika na Zanzibar.

Wakati nchi hizi mbili zikiungana mwaka 1964, Tanzania ilikadiriwa kuwa na idadi ya watu 9,649,925, kati ya watu hao, wanaume walikuwa 4,432,599 na wanawake walikuwa 5,217,326 sawa na asilimia 46 kwa 54 mtawalia. Aidha, idadi ya watu kwa Tanganyika ilikuwa 9,354,560 wanaume wakiwa 4,291,869 na wanawake 5,062,691. Idadi ya watu Zanzibar ilikuwa 295,365 kati yao wanaume walikuwa 141,800 na wanawake 153,565.

Bonyeza Hapa kupata Taarifa zaidi kuhusu Idadi Watu Kabla na Baada ya Muungano