Idadi ya watalii kutoka nje ya nchi walioingia nchini katika kipindi cha Januari hadi Agosti 2023 waliendelea kuongezeka hadi 1,131,286 ikilinganishwa na watalii 900,182 walioingia nchini kipindi kama hicho mwaka 2022, ikiwa ni ongezeko la watalii 231,104 sawa na asilimia 25.7.

Bonyeza hapa kupata taarifa zaidi (pdf)