Taarifa ya mwenendo wa idadi ya watalii waliongia nchini ni miongoni mwa taarifa za mara kwa mara (high-frequency data) zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu kwa mujibu wa Sheria ya Takwimu SURA 351. Kiashiria hiki pamoja na viashiria vingine hutumika kutathmini mwenendo wa ukuaji wa uchumi wa nchi katika vipindi vifupi.

Bonyeza hapa kupata taarifa zaidi(pdf)