Naibu  Waziri  Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi, Zanzibar Dkt. Makame Ali Ussi akizindua Mafunzo ya Wadadisi wa Sensa ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Mwaka wa Kilimo 2019/20 kwa kanda ya Zanzibar.

 

Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar Bi. Mayasa Mhafoudh Mwinyi akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mafunzo ya Wadadisi wa Sensa ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Mwaka wa Kilimo 2019/20 kwa kanda ya Zanzibar. 

 

Kamishna wa Idara ya Uchumi Kutoka Tume ya Mipango Zanzibar Dkt. Rahma Mahfoudh Salum akitoa nasaha zake wakati wa uzinduzi wa Mafunzo ya Wadadisi wa Sensa ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Mwaka wa Kilimo 2019/20 kwa kanda ya Zanzibar.

Katibu Mtendaji Kutoka Tume ya Mipango Zanzibar Ndugu, Mwita Mgeni Mwita akizungumza wakati wa uzindua wa Mafunzo ya Wadadisi wa Sensa ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Mwaka wa Kilimo 2019/20 kwa kanda ya Zanzibar ambapo alisisitiza umuhimu wa wadadisi kutekekeleza majukumu yao kwa umakini ili kupata takwimu bora.