Crime Statistics 
                    
                
            
        
                        Crime Statistics 
                    
                
             Statistics Publications by Subject 
        
    Taarifa ya hali ya uhalifu ya kipindi cha Januari hadi Desemba imeangalia kwa ujumla matukio mbalimbali ya uhalifu yaliyoripotiwa katika vituo vya polisi nchini katika kipindi hicho. Matukio yamegawanywa katika makundi mawili ambayo ni makosa makubwa na madogo ya jinai na ya usalama barabarani. Makosa ya jinai yamegawanywa katika makundi matatu; makosa dhidi ya binadamu, makosa ya kuwania mali na makosa dhidi ya maadili ya jamii. For more information: Contact valerian.tesha@nbs.go.tz
                                     Related Topics