Takwimu za Kilimo
Takwimu za Kilimo
Machapisho ya Takwimu kwa Mada
Kilimo ni Sekta muhimu katika uchumi wa Tanzania kwa kuwa ni chanzo kikuu cha chakula, ajira, fedha za kigeni na malighafi zinazotumika viwandani. Pia, Tanzania imejaliwa kuwa na hali ya hewa na kanda za kijiografia tofauti zinazowezesha wakulima na wafugaji kuzalisha mazao ya kilimo, mifugo na kufuga samaki. Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi kupitia anwani ya barua pepe: titus.mwisomba@nbs.go.tz