Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Taifa ya Takwimu

Takwimu kwa Maendeleo
Aliyekuwa Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa akimkabidhi hati ya makabidhiano Mtakwimu Mkuu mpya wa Serikali Dkt. Amina Msengwa.
25 February, 2025
09:00:00 - 11:00:00
NBS Headquarters Dodoma.
sg@nbs.go.tz

Aliyekuwa Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa akimkabidhi hati ya makabidhiano Mtakwimu Mkuu mpya wa Serikali Dkt. Amina Msengwa kwenye hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika leo Takwimu House Dodoma.  Dkt. Msengwa aliteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kushika wadhifa huo tarehe 13 Februari 2025.

Aliyekuwa Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa akimkabidhi hati ya makabidhiano Mtakwimu Mkuu mpya wa Serikali Dkt. Amina Msengwa.