09 September, 2025
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Amina Msengwa, amekutana na kufanya mazungumzo na Mshauri Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) Mhandisi Yoshihiko Ogata .
Kuhusu Utafiti wa ukusanyaji takwimu za kujenga mfumo himilivu wa chakula, kwa kuangalia mkusanyiko wa chakula bar...