Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Taifa ya Takwimu

Takwimu kwa Maendeleo
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022
24 December, 2024
09:00:00 - 16:00:00
Dodoma
sg@nbs.go.tz

Wajumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 wakifuatilia moja ya ajenda zilizowasilishwakatika Kikao cha 12 cha Kamati hiyo kilichofanyika jijini Dodoma chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa hivi karibuni.

Wajumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022