Uzinduzi wa Kanzidata na Mfumo wa Taarifa za Watu wenye Ulemavu unaotokana na Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022
Uzinduzi wa Kanzidata na Mfumo wa Taarifa za Watu wenye Ulemavu unaotokana na Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022
25 January, 2025
10:00:00 - 16:00:00
Dodoma
sg@nbs.go.tz
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Kanzidata na Mfumo wa Taarifa za Watu wenye Ulemavu unaotokana na Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 jijini Dodoma.