Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Taifa ya Takwimu

Takwimu kwa Maendeleo
Warsha ya kuwajengea uwezo Waheshimiwa Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC)
08 February, 2024
08:00:00 - 18:00:00
Dodoma
sg@nbs.go.tz

Warsha ya kuwajengea uwezo Waheshimiwa Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC) namna Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inavyoratibu Takwimu kwa ajili ya Utekelezaji wa Ajenda ya Maendeleo Endelevu (SDGs). Warsha hii imefanyika jijini Dodoma.

Warsha ya kuwajengea uwezo Waheshimiwa Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC)