Mhandisi Luoga Atembelea Mabanda Maonesho ya Siku ya Takwimu Afrika 2025
Mhandisi Luoga Atembelea Mabanda Maonesho ya Siku ya Takwimu Afrika 2025
Posted On: 19 November, 2025
Mgeni rasmi katika Hafla ya Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa Matumizi ya Nishati katika Kaya ya mwaka 2023, Kamishna wa Umeme na Nishati Jadilifu Wizara ya Nishati, Mhandisi Innocent Luoga akitembelea mabanda ya maonesho ya takwimu mbalimbali, ikiwemo za nishati na matumizi ya nishati kwa kaya, yanayoendelea katika Ofisi ya Taifa ya Takwimu - NBS jijini Dodoma tarehe 17 Novemba 2025.