The United Republic of Tanzania

National Bureau of Statistics Tanzania

Statistics for Development
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Amina Msengwa, amekutana na kufanya mazungumzo na Mshauri Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) Mhandisi Yoshihiko Ogata .
Posted On: 09 September, 2025
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Amina Msengwa, amekutana na kufanya mazungumzo na Mshauri Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan  (JICA) Mhandisi Yoshihiko Ogata .

Kuhusu Utafiti wa ukusanyaji takwimu za kujenga mfumo himilivu wa chakula, kwa kuangalia  mkusanyiko wa chakula barani Afrika kwa kipindi cha kuanzia Mei 2025 mpaka Februari 2026.