The United Republic of Tanzania

National Bureau of Statistics Tanzania

Statistics for Development
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Amina Msengwa katika Maadhimisho ya miaka 60 ya Chuo cha Takwimu Afrika Mashariki.
Posted On: 03 September, 2025
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Amina Msengwa katika Maadhimisho ya miaka 60 ya Chuo cha Takwimu Afrika Mashariki.

Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Amina Msengwa akiwasilisha wasilisho la mchango wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS katika mfumo wa takwimu rasmi nchini katika kipindi hiki cha kidigitali na changamoto zake. Dkt Msengwa ametoa wasilisho hilo Mkoani Dar es Salaam katika maadhimisho ya miaka 60 ya Chuo cha Takwimu cha Afrika Mashariki yaliyowakutanisha wadau wa takwimu kutoka ndani na nje ya nchi.