Utafiti wa Kilimo wa Mwaka
Utafiti wa Kilimo wa Mwaka
Ofisi ya Taifa ya Takwimu na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar kwa kushirikiana na Wizara zenye dhamana ya Sekta ya Kilimo, hushiriki katika utafiti wa mwaka wa kilimo.