Tathmini ya Utoaji wa Huduma za Afya Tanzania (TSPA)
Tathmini ya Utoaji wa Huduma za Afya Tanzania (TSPA)
Utafiti wa Kutathmini patikanaji wa Huduma katika Vituo vya Kutolea Huduma za Afya wa Mwaka 2014-15. Ulitekelezwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali (OCGS), Zanzibar na Wizara za Afya (MOH) kutoka Bara na Zanzibar. Shirika la ICF lilitoa msaada wa kiufundi kupitia programu ya DHS katika utekelezaji wa Utafiti wa huu.
Lengo kuu la Utafiti wa 2014-15 TSPA ni kutathmini upatikanaji wa huduma za msingi na muhimu za afya.