NBS Accessibility Tools
NBS Accessibility Tools

Text Size

Language

AASS 2023/2024 Women's Empowerment and Nutrition Module: WEN Tanzania Gender and Environment Survey: TGES 2025 Utafiti wa Kufuatilia Kaya (National Panel Survey, Wave 6: NPS 2026 Tanzania Inflation Rate April 2026: 4.0 %
The United Republic of Tanzania

National Bureau of Statistics

Katibu Mkuu Dkt. Msemwa Akutana, Kufanya Mazungumzo, SG Dkt. Msengwa
Posted On: 02 April, 2026
Katibu Mkuu Dkt. Msemwa Akutana, Kufanya Mazungumzo, SG Dkt. Msengwa

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji anayeshugulikia Uwekezaji, Dkt. Fred Matola Msemwa leo tarehe 01 Aprili 2026 amemtembelea Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Amina Msengwa ofisini kwake, Jengo la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu jijini Dodoma.

Viongozi hao wamekutana na kufanya mazungumzo ya pamoja juu ya matumizi ya Takwimu katika kuchochea  na kuvutia shughuli za uwekezaji nchini.