NBS Accessibility Tools
NBS Accessibility Tools

Text Size

Language

Inflation Rate for August, 2026: 4.3% AASS 2023/2024 Women's Empowerment and Nutrition Module: WEN Tanzania Gender and Environment Survey: TGES 2025 Utafiti wa Kufuatilia Kaya (National Panel Survey, Wave 6: NPS 2026
The United Republic of Tanzania

National Bureau of Statistics

Mfumuko wa Bei Mwezi Agosti 2026
Posted On: 28 September, 2026
Mfumuko wa Bei Mwezi Agosti 2026

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia Mwezi Agosti, 2026 umeongezeka hadi asilimia 4.3 kutoka asilimia 4.2 kwa mwaka ulioishia Mwezi Julai, 2026.

Hii inamaanisha kuwa, kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia Mwezi Agosti, 2026 imeongezeka ikilinganishwa na kasi iliyokuwepo kwa mwaka ulioishia Mwezi Julai, 2026.

Kuongezeka kwa kasi ya Mfumuko wa Bei kumechangiwa na kuongezeka kwa Mfumuko wa Bei kwa baadhi ya bidhaa za chakula na bidhaa zisizo za vyakula kwa kipindi cha mwaka ulioishia Mwezi Agosti, 2026 ikilinganishwa na kipindi cha mwaka ulioishia Mwezi Julai, 2026.