Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Taifa ya Takwimu

Takwimu kwa Maendeleo
Takwimu za Hali ya Uhalifu

Taarifa ya hali ya uhalifu ya kipindi cha Januari hadi Desemba imeangalia kwa ujumla matukio mbalimbali ya uhalifu yaliyoripotiwa katika vituo vya polisi nchini katika kipindi hicho. Matukio yamegawanywa katika makundi mawili ambayo ni makosa makubwa na madogo ya jinai na ya usalama barabarani. Makosa ya jinai yamegawanywa katika makundi matatu; makosa dhidi ya binadamu, makosa ya kuwania mali na makosa dhidi ya maadili ya jamii.

Mada Zinazohusiana