Mpango Kabambe wa Kuimarisha na Kuboresha Takwimu Nchini (TSMP)
Mpango Kabambe wa Kuimarisha na Kuboresha Takwimu Nchini (TSMP)
Machapisho ya Takwimu kwa Mada
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar (OCGS) inatekeleza Awamu ya Pili ya Mpango Kabambe wa Kuimarisha na Kuboresha Takwimu Nchini (Tanzania Statistical Master Plan II - TSMP II) kuanzia mwaka 2022/23-2026/27. TSMP II ina malengo ya kuimarisha Mfumo wa Takwimu Nchini katika nyanja za Uratibu, Ubora na Usambazaji wa Takwimu; Uzalishaji wa Takwimu na Miundo ya kitaasisi na Miundombinu.
Mada Zinazohusiana