Takwimu za Kodi
Takwimu za Kodi
Machapisho ya Takwimu kwa Mada
Taarifa hii ni mwendelezo wa majukumu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu katika kutayarisha na kusambaza takwimu rasmi kwa ajili ya kutunga sera, kupanga mipango na kufanya maamuzi. Chapisho hili linabainisha utekelezaji wa Serikali katika ukusanyaji wa kodi kutoka vyanzo mbalimbali. Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi kupitia anuani ya barua pepe Adella.ndesangia@nbs.go.tz
Mada Zinazohusiana