Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Taifa ya Takwimu

Takwimu kwa Maendeleo
Takwimu za Utalii

Utalii umeendelea kuwa miongoni mwa vichocheo muhimu vya ukuaji wa uchumi nchini Tanzania, na mchango wake umeendelea kuonekana katika ongezeko endelevu la fedha za kigeni. Katika kutambua umuhimu huo wa kiuchumi wa sekta hii, nchi hufanya tafiti za kila mwaka za wageni wa kimataifa wanaoingia nchini, ikiwa na malengo ya kukadiria mwenendo wa matumizi ya watalii (expenditure pattern), idadi ya wageni wanaoingia, mpangilio wa safari zao (travel arrangement) na sifa za kidemografia za watalii. Kwa maelezo zaidi, wasiliana kwa Barua pepe: valerian.tesha@nbs.go.tz

Mada Zinazohusiana