Takwimu za Viwanda na Ujenzi
Takwimu za Viwanda na Ujenzi
Machapisho ya Takwimu kwa Mada
Ofisi ya Taifa ya Takwimu hutayarisha na kusambaza takwimu rasmi zikiwa ni pamoja na takwimu za viwanda na ujenzi. Lengo kuu la utayarishaji wa takwimu za viwanda na ujenzi ni kuwa na taarifa sahihi za kisekta ambazo hutumika katika kutathmini mchango wa sekta ya viwanda na ujenzi katika uchumi nchini. Yafuatayo ni machapisho yanayohusiana na takwimu za viwanda na ujenzi yanayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu. Kwa maelezo zaidi, wasiliana kwa Barua pepe: veronica.mwangoka@nbs.go.tz