Takwimu za Uwekezaji
Takwimu za Uwekezaji
Machapisho ya Takwimu kwa Mada
Ripoti za Uwekezaji Tanzania, hutolewa kwa pamoja kati ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS). Ripoti hizi zinaonesha Uwekezaji wa Mtaji Binafsi wa Kigeni (Foreign Private Investment-FPI) na kubainisha kwa kina mtiririko wa Uwekezaji wa mtaji kutoka nje (Foreign Direct Investment - FDI). Tafiti hizi za uwekezaji hufanyika kila mwaka na zinalenga makampuni yenye mali na madeni ya kigeni ambapo huwezesha kutayarisha chapisho la ripoti hizi. Kwa taarifa zaidi, wasiliana nasi kupitia anwani ya barua pepe: valerian.tesha@nbs.go.tz
Mada Zinazohusiana